Mtazamo wa ki-habari katika udhibiti wa tumbaku



Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Afya Tanzania (ATHJ), Mashaka Bonifas Mgeta (mbele) akiwasilisha mada kuhusu Mtazamo wa ki-habari katika udhibiti wa tumbaku. Ilikuwa kwenye warsha ya watendaji wa Serikali iliyofanyika hivi karibuni mjini Dodoma kwa uratibu wa Jukwaa la Udhibiti wa Tumbaku (TTCF)

Comments

Popular posts from this blog