Kuhusu warsha ya watendaji wa Serikali udhibiti tumbaku hivi karibuni mjini Dodoma

Mwenyekiti wa ATHJ, Mashaka Bonifas Mgeta (watatu kutoka kushoto, mstari wa katikati) na na mjumbe wa Kamati ya uongozi ya ATHJ, McDonald Mollel (wa pili kulia, mstari wa katikati) wakiwa na washiriki wengine wa warsha ya watendaji wa Serikali kuhusu udhibiti wa tumbaku iliyofanyika hivi karibuni mjini Dodoma kwa uratibu wa Jukwaa la Udhibiti wa Tumbaku (TTCF)

Comments

Popular posts from this blog